- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Tanzaniavate ni jukwaa la kidijitali linalolenga kuwapa vijana na watanzania kwa ujumla maarifa, fursa, mbinu za kiteknolojia, ajira, na maarifa ya kujitegemea. Kupitia makala, ujanja wa simu, habari mpya, matangazo, na mafunzo mbalimbali, Tanzaniavate inakuwezesha kuwa mbele katika dunia ya kidijitali. Tunaleta maarifa kwa lugha rahisi, kwa kutumia mitindo ya kisasa ya uwasilishaji ili kuhakikisha kila mtu anaelewa na kunufaika. Jiunge nasi utembee na mabadiliko!